07 June, 2012

WATU WANA MAMBO!!! Eti laiti kama facebook ingekuaga dini basi hizi ndo zingekuwa amri zake!!!! Ili watu waishi poa


1. Usiwe na mpenzi mwingine tofauti na yule uliyemwandika katika profile yako

2. Usishobokee msichana asiyekuwa mpenzi wako. Usimtongoze wala kumuhusudu

3. Usimtaje taje hovyo mpenzi wako katika status usije ukaonekana bwege.

4.Wakumbuke rafiki zako kwa kucomment au ku-like status zao.

5.Waheshimu wavulana kwa wasichana upate comment nyingi na like katika status zako.

6.Usishobokee mastaa

7.Usitoe namba za simu hovyo, ichunge email yako na kamwe usimpe mpenzi wako password

8. Usiibe status ya mwenzako.

9.Usiwe muongo usije ukaumbuka siku ya kukutana.

10.Usitamani profile picture isiyokuwa ya kwako.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...