03 July, 2012

SIKIA HII!!

Simu iliita:
Mume: Hello baby!
Mke: Hello swt!
Mume: Nitachelewa kurudi leo.
Mke: Nilishajua uko kwa vijanamke vyako, wewe ni ma....a sana, sijui ilikuaje nilikukubali! Nakuchukia km nini, sikupendi sikupendi!
Mume: Niko Bank hapa......
Mke: Haaaaa! Ulijuaje km sina hela, nitolee laki moja nadaiwa baby, nakupenda sana kuliko roho yangu, nakutekea maji ya kuoga swity wangu. Usisahau hizo pesa, ninunulie na chips kuku....mwaaaaaaa!
Mume: ....ni BANK YA KUCHANGIA DAMU!
Mke: nyoooooooooooooooooooooooo!

Wizi mtupu!
Girl: Hellow
Boy: Sweety mambo vip?
Girl: poa
Boy: Utakua free weekend hii? Nilikua nataka uje home.
Girl: Ooh Sorry, sitoweza kuja coz kuna harusi ya Aunt yangu na kesho yake kutakua na wageni nyumbani.
Boy: kama ni hivo sawa just nilikua nataka nikufanyie surprise, nimekununulia Blackberry Torch
Girl: ooh!! Usijali mpenz wangu ntakuja, hata ukitaka nilale uko uko nitalala
Boy: vipi kuhusu harusi??
Girl: harusi ipi?? Nilikua nakutani honey.
Boy: ok, na mimi pia nilikua nakutania tu.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...