12 October, 2012

UMEISIKIA HII TOKA KWA JIDE?




Taarifa ni kwamba mwanadada Lady Jay Dee anataka kuanza project mpya ya kipindi chake cha TV na atasimamia yeye mwenyewe!
Kupitia ukurasa wake wa facebook mdada huyu mjasiriamali kwelikweli ameandika ujumbe kwamba mtu yoyote atakaye bahatika kujua jina la show yake pamoja na tv ambayo itakuwa ikirusha show yake basi atampa zawadi! Haya kazi kwenu mashabiki na wapenzi wa Lady Jaydee, The Iron Lady...

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...