23 October, 2012

WARAKA KWA WAISLAMU WOTE TANZANIA



BISMILLA HIR RAHMAANIR RAHIIM

TANBIHI KWA WAISLAMU WOTE

UTANGULIZI

Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakaatuhu.

Viongozi  wawili wa kikristo hapa nchini, yaani Katoliki, KKKT wameamua wazi wazi mara hii kujianika na kuubainisha ubaya wao dhidi yetu sisi waislamu.

Tena wamepanga kutumia kifo kilichotokea kwa bahati mbaya  cha mwandishi wa habari, ili kuudhulum umma wa waislamu katika nafasi za uongozi wan chi hii.

Katika makanisa tuliyoyataja hapo juu wanafanya harakati nyingi sana ili kuhakikisha Raisi wetu ambae ni mwislamu mwenzetu anakosa wasaidizi wazuri ambao ni waislamu katika safu yetu ya uongozi. Mkakati wao huo unasimamiwa na kutekelezwa na CHADEMA.

Chama hicho kikishafanya matukio machafu ya vurugu, uzushi na uchochezi, wao wanajitokeza kutoa matamko kama walivyofanya kwa Dr. Hajj Mponda alipokuwa waziri wa afya, Mustafa Mkulo alipokua Waziri wa fedha. Pia katika tukio la vijana wa CHADEMA kumteka na kumpiga Dr. Ulimboka, kisha eti wakasingizia ni watu wa usalama wa Taifa wakimlenga Othuman ambae ni Mkurugenzi wa wa Idara hiyo ashinikizwe na umma kujiuzulu (mpango huo haukufanikiwa)

Hivi sasa wanamuwinda Saidi Mwema na tayari kina Askofu Kilaini, Marasusa, Padri Mapunda na wenzao wengi kila kona wamekwisha anza kuchochea umma kwa kutoa matamko na shutuma  wakati chanzo na sheria, amri na maelekezo halali Jeshi la Polisi.

Sisi kama viongozi wwenu, tunataka umma wa Kiislamu yaani sote kwa umoja wetu, tuweze kutambua dhuluma inayofanywa dhidi ya Waislamu. Kwasababu yanayofanywa yanalenga kudhoofisha Waislamu katika kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika nchi yetu ya Tanzania. Wanataka tuendelee kuwa dhaifu na kuonekana  hatuwezi  kuongoza, maana wanapopatikana wenzetu wakafanya vizuri kama Saidi Mwema, sifa inamwendea aliyemteua lakini pia na sifa hizo zinakua za Waislamu wote, kwamba ndugu zetu pamoja wanaweza na kukandamizwa na MFUMO KRISTO tangu nchi hii ilipopata uhuru.

HOJA, UFAFANUZI NA MWELEKEO

Hivyo, tunapenda Waislamu wote mfahamu kwamba, viongozi wa makanisa hayo tuliyoyataja hapo juu wanamchukia sana Mwislamu mwenzetu Jakaya Mrisho Kikwete na wanafanya jitihada kubwa, ili kuhakikisha wanamwondoa madarakani kabla mwisho wa muhula wake kumalizika.
Uthibitisho wa haya, tunayaeleza hapa nchini kama ifuatavyo:-
1      
  •        Mbinu hizi chafu dhidi ya Waislamu zilianza muda mrefu, wakimtumia Dr. Slaa ambaye ni Padri wa Kikatoliki. Hawa jamaa ni sawa na genge la mafia, kwasababu walimtumia Dr. Slaa aingie kwenye siasa ameasi kanisa (ndiyo maana hata wanapofanya maasi ya waziwazi, hawamkemei wala kumtolea matamko) Dr. Slaa baada ya kukaa ndani ya CCM kwa muda walimwagiza ahamie CHADEMA kwa lengo la kuibua upinzani na kuchukua uongozi wan chi, kwasababu  ndani ya CCM Uislamu una mizizi na historian a uhuru wan chi yetu. Walifikia uamuzi huo baada ya kubaini wana CCM hawawezi kupiga teke Uislamu kama walivyokua wanataka Maaskofu na Mapadri kwasababu waliomo humo si watu wa kurubunika na kujiingiza katika siasa za udini.

  •       Huyu Padri Slaa, alipoingia CHADEMA kazi yake kubwa imekua ni kukinunua na kukisuka chama hicho, ili kiwe ni CHAMA CHA KANISA KWA SIRI. Hivi tunavyo waandikia waraka huu mkakati huo umekwisha kamilika. Ushahidi wa hilo tunao mwingi, lakini pia angalieni jinsi wanavyo muwinda Zitto Zuberi Kabwe (mwislamu), ili kum maliza kisiasa na harakati yao kubwa ni kupandisha vijana wa Kikristo kama vile Mnyika (ambae ni mkristu tena tunda la kanisa katoliki, yaani ni – mseminaristi, aliyekua anasomea upadri kabla ya kujipachika uchadema). Lakini makanisa hayo wakikutana na viongozi wan chi, wanajikomba kwamba wanawapenda kumbe wanafikia na kuwafitini. Unafiki wa namna hii sasa umezidi kuonekana na kujulikana, kwasababu hata taa rifa hizi tumezipata kwa wenzao ambao hawapendezwi na unafiki wa viongozi wao. Hao mapadri wanaishi peke yao, hawajui tunavyoishi huku mitaani.
 
  •   Kwamba tumeoleana (Wakristu na Waislamu), hivyo si rahisi kutaka kufanya unyama wanaoutaka kuufanya kupitia CHADEMA Bila kujulikana. Vile vile mnapaswa kufahamu hawa mapadri wanavyoishi maisha ya kinafiki na usanii. Je, mahawara zao na hata nyumba ndogo na watoto wao hamuwajui???!!!

  •    Wakatoliki wanatumia fedha nyingi kukisaidia CHADEMA kwa siri kubwa. Pia wanatumia wataalamu wao (wanataaluma wakatoliki walioajiriwa serikalini), kuiba siri na nyaraka za serikali na kuwapelekea mapadri. Nyaraka hizo zinawasaidia kujua kilichomo au maamuzi yaliyopitishwa serikalini na wao wanapanga na kutekeleza mikakati/ mipango ya kuvuruga kila idara, wizara au sehemu nyeti zinazo ongozwa na waislamu waislamu, ili ionekane hawawezi kazi. Hata nyaraka anazotoa Padri Slaa mara kwa mara amezinasa, hutumia mtandao wanataaluma wakatoliki kuiba nyaraka za serikali.

  •    Kupitia chama cha kikristu – CHADEMA, hivi sasa wanapanga na kufanya tenda ya kukaidi sheria na kufanya vurugu, ili dola inayo ongozwa na Waislamu wenzetu ikiwachukulia hatua waseme eti uhuru wa kuabudu na demokrasia unafinywa kama ulivyo ibuka Askofu Kilaini na Askofu Mwalasusa na wenzao. Kwanini  hawakiambii wala kukikemea CHADEMA? (CHAMA CHA WAKRISTO), kiwe kinatii sheria za nchi bila shuruti? Chama hiki kinapokatazwa hakitii, kwasababu kinataka kuonesha kwamba kiko juu ya sheria na taratibu za nchi, kama wanavyofanya maaskofu na mapadri. Hawa wanapinga juhudi zozote zinazofanywa na viongozi ambao ni waislamu, hata kampeni iliyoanzishwa ya utii wa sheria bila shuruti wameigomea na wanaipinga ( ila wapentekoste hao ndio waliojitokeza kuiunga mkono). Hao wengine hawataki watu watii kwasababu lengo lao ni kufanikisha malengo yao ya kumuondoa Raisi Kikwete madarakani kwa njia ya ghasia, vurugu na maandamano. Huu ndio uasi tunaopaswa kuushuhulikia.
  •   Hivi sasa wameanza mkakati wao unaoitwa M4C (Mkakati huu ulibuniwa na kuandaliwa na moja ya kamati ya wanataaluma wakatoliki na kuwasilishwa katika chama chao- CHADEMA), lengo la mkakati huu ni kuhakikisha  nchi hii inatibuka kwa machafuko na vurugu, ili ionekane Waislamu hawajui kuongoza. Kila wana M4C wanapokwenda, viongozi wa madhehebu hayo wanahamasisha vijana wao kuamka na kushiriki mapambano ya kuipatia nchi uhuru. Uhuru gani wakati nchi iko huru?

  •    Pia, kwa sasa wanafanya jitihada nyingi  ili kuhakikisha eti usalama wa taifa unao ongozwa na Muislamu mwenzetu Othman, unashikwa na Mkristu na Jeshi la Polisi linalo ongozwa na Saidi Mwema anyang’anywe na kupewa Mkristu. Wanatekeleza mkakati huu wakiamini kwamba, wakiutekeleza na kuufanikisha, eti ndio utakaowawezesha kumng’oa madarakani ndugu yetu Kikwete. Kwasababu hawa wakina Othman na Mwema, ni wataalamu waliobobea na watiifu kwa Raisin a ni nguzo kwenye uongozi wake, kwasababu wanaona na kupangua hila chafu zinazopangwa dhidi ya Raisi wetu. Mbinu hizi chafu ni dhuluma kwa Waislamu na tunawataka muamke na kuchukua hatua, kila mtu kwa nafasi yake na kadri mwenyezi Mungu atakavyomjalia na kumuwafikisha la kufanya, ili kuhami nafasi ambazo waislamu wenzetu wameshikilia na kuwaepusha na udhalimu huu.


  •  Maaskofu na mapadri wamewaelekeza mahakimu na majaji wasikilize haraka kesi za uchocheza wa chama chao cha CHADEMA, wanataka zichelewe, ili wamnyang’anye madaraka mwenzetu kisha wazifute kesi hizo kwa madai kwamba zilikua za kisiasa. Tena tunadokezwa kwamba, safari hii wanataka atakaemrithi Raisi Kikwete awe ni kutoka katika Kanisa la KKKT, kwasababu wamekubaliana kwa siri kupeana zamu za kutawala. Awali wakatoliki walitaka aliyekuwa mseminaristi wao na sasa ni Waziri katika wizara nyeti awe ndiye, hilo lilizua ubishi wa wao kwa wao wakidai eti wakatoliki wameshapata vipindi viwili yaani kipindi cha Mwalimu Nyererer na kipindi cha Mkapa ambao wote ni Wakatoliki.

  •   Ndugu Waislamu na watu wote walio wema kwa uislamu, ndiyo sababu tumeamua kwamba tusinyamaze, tukuelezeni ukweli ninyi umma wa kiislamu. Ili mjue jinsi tinavyoandaliwa kukaangwa na kama si kutupwa nje katika maendeleo ya nchi yetu. Wanataka tubakie sisi na watoto wetu ni manamba wa watumwa katika nchi hii. Jambo hili kamwe si la haki na kamwe tusikubali kuendelea kufanywa raia daraja lapili katika nchi yetu, tunawaombeni sasa tuamke na kuchukua hatua.
 

  •    Mkakati huo wa maaskofu na mapadiri unalenga jamii iamini kwamba, waislamu hawawezi uongozi na kwamba wanashindwa wakipewa uongozi, ili hata ikifika mwaka 2015 wakati wa uchaguzi mkuu waislamu wasipate nafasi katika vyeo vya  kisiasa au wataofanikiwa kupenya, basi wawe ni waislamu jina wanao kula nao nguruwe.


  •    Kama mtakumbuka katika kampeni za mwaka 2010 maaskofu na mapadiri waliendesha kampeni makanisani wakimpigia debe Dk Slaa ambaye ni padiri mwenzao.  Tangu wakati huo, chuki dhidi ya kiongozi wetu haikwisha bali wamekuwa wakizusha migomo, maandamano, mitafaruku ,visa na mikasa kila siku. Pia wamekuwa wakipitisha mambo ya udhalimu kwa watu wengine ili isibainike kwamba ni ya kwao.Hata wengine kama vile padre mapunda, malasusa, kilaini na wengineo wanatoka na kuwashambulia waislamu hadahrani. Hata maaskofu na mapadri kwenye ibada zao wanatoa mahubiri, hotuba na nasaha zinazoonyesha kwamba serikalil ya mwislamu mwenzetu haijafanya kitu. Maneno hayo, si kwamba ni kichochezi lakini yanalenga kuwafanya waumini wao ambao si waislamu wawadharau viongozi wao wa serikali ambao ni waislamu jambo ambalo linapelekea ndugu zetu waislamu waongoze nchi kwa tabu sana.

  • .       Tunataka mjue na mtambue kila mnapomuona Dr Slaa na kila anachokifanya ua kutamka mjue nyuma ya hilo wapo maaskofu na mapadri na kwamba yupo kwa ajili ya ustawi na maslahi ya kanisa lake na washirika wao. Huyu hajaacha upadri, ila wanatufanyia umafya tu na ghilba ilil tuingie kwenye shimo. Lengo kuu la waraka huu kwa waislamu wote nchini, ni kuwafungua macho ili muondokane na kushabikia ukristo katika siasa, yaani muachane na chama chao. Hili ni agizo letu kwenu nyinyi umma wa waislamu hapa nchini, kwa sababu chama chao hakiwezi kuleta tija kwetu wala kwa taifa letu zaidi ya migomo, vurugu na maandamano yasiyokuwa na tija.


  •      Hivi karibuni gazeti la sauti huru la agosti 29, liliandika habari za ukweli na uwazi kwamba shirika la Jesuits linatumiwa kupitisha fedha nyingi kwenda kwa viongozi wa CHADEMA, ili kufanikisha mikakati yao ya vurugu na maandamano. Pia  shirika linguine la kijasusi la katoliki liitwalo White Fathers(makao makuu ya shirika hilo yako kati kati ya lengo la waizara ya sheria na iliyokuwa sekondari forodhani, karibu na posta ya zamani- Dar es salaam), shirika hilo la kikatoliki linamwaga pia fedha mamilioni kwa CHADEMA kwa njia ya siri na ndiyo hayo wanazunguka nayo wakiwapa vijisenti vijana wao na kuwavutisha bangi, ili wafanye fujo kwa lengo la kuonyesha eti waislamu hawawezi kazi. Huu ndio MFUMO KRISTO tunaowaambia siku zote muwe makini nao, maana wanataka kila chema kiwe chao na kwetu tusiwe na kitu, hata tulichonacho wanataka kutupora. Pia tunapenda mjue kwanba hata mali ambazo makanisa hayo yanamiliki pote nchini, ni matokeo ya MFUMO KRISTO kwa kuukandamiza uislamu na waislamu. Hivyo harakati wanazoziendesha kupitia chama chao cha CHADEMA zinalenga kuendelea kujineemesha na kulinda fursa na mali walizotupora kijanja. Kwa hiyo, kila mwislamu popote alipo, huu si wakati wa kulala. Tuwaendee kwa mbinu zote, ili wajue kwamba tumewabaini maana wao wameanza na sisi tuhitimishe.  Ya nini tuendelee kuishi katika nchi yetu tukiwa wanyonge na tunaokandamizwa na mapadiri? Tutanyanyasika mpaka lini?????


  • .  Wanawatumia wanaharakati Kijo Bisimba wa kituocha sheria na haki za binadamu(kituo hicho kinaongozwa na aliyekuwa mkuu wa kanisa la KKKT Askofu Elineza Sendoro, Sendoro anaishi mbezi beach. Ofisi za kituo hicho zipo nyuma ya jingo la sayansi kijitonyama-  Dar –s –salaam). Pia yupo mwanamke chakaramu na kafiri wa TAMWA, anaitwa Ananilea Nkya, hawa wote wanapokea fedha kutoka kwa wakristu wenzao(yaani wazungu wa marekani, ulaya na kwa watu wanaunga mkono tabia ya ushoga wa ughaibuni). Kazai ya fedha hizo ni kwa ajili ya kampeni ya kuichonganisha serikali ya wenzetu kwenye macho ya watanzania. Haya yote hamjayaona? Je ofisi zao mnajua ziliko? Je hamjui wanakoishi? Kwwa nini mnanyamaza hamuwafati na kuwauliza, wao na familia zao?  Wafuatuni kwa namna mtakayoona inafaa katika kuwaumbua na hila zao chafu dhidi yetu kwamba hatuwezi kukubali kuendelea kukandamizwa.


  • Pia tunataka mjue kwamba, hawa watu wanagawa fedha nyingi kwa waandishi wa habari ili waandike na kutangaza wanachotaka wao tu bila kuonesha lolote jema. Hivi ni ukweli eti Kikwete hana lolote jema aliloifanyia nchi yetu mpaka wanamwandama hivi? Hata huyo kafiri alliyekufa Iringa wanashikilia bango, kwa sababu alikuwa ni mwanachama wa chama chao cha kikristu(CHADEMA). Hiki chama kuanzia sasa tunaomba muwe makini nacho, sisi sio wakristo ya nini kujiunga na makafiri, ili kutimiza ajenda zao dhidi ya  uislamu? Ebu fikirini, kama wangekuwa na uchungu na huzuni ya tukiohilo mbona hawassemi lolote wala hawawapi hata pole polisi walioumia katika dhahama iliyomuua Mwangosi? Taarifa nyingi ziko wazi kwamba, huyo Mwangosi alikuwa kada na mwanachama wa chama cha kikristo- CHADEMA, tena mwana- CHADEMA kiherehere. Mbona hawakemei waaandishi wenye tabia na mwendo kama wa Mwangosi wanaotumia ujuzi wao kuingiza upotoshaji, hisia binafsi na ushabiki wa kiitikadi wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kihabari? Mbona upande wa pili wa tabia binafsi na maisha ya Mwangosi ya vurugu, fujo na uhuni dhidi ya uislamu mbona hautajwi?


  •    Sisi kama viongozi tuliopewa dhamana ya kuongoza umma wa kiislamu, tumeona tusinyamaze, tunataka muyaelewe na kuyapembua haya. Pia  mnayoyaona na kuyasikia muyapembue vizuri, ili msiingizwe katika mkumbo wa kushabikia MFUMO KRISTO kupitia chama chao- CHADEMA. Pia tunawasihi muwaonye vijana wetu na kuwanasihi, ili mshirikiane na kukabiliana katika kuchukua hatua dhidi ya udhalimu huu unaofanywa dhidi ya uislamu na waislamu. Watie moyo kuhusu umuhimu wa kila mmoja kunoa, ililkuongeza makali, ili ili kuharakisha kukamilisha jukumu hili la kuuhami uislamu na waislamu kwa ujumla insha allah
                
  HITIMISHO
  Tunawakumbusha na kuwasihi masheikh na maimamu wote, kuwasomea waumini waraka huu na kupanga namna ya kusimamia mambo yanayohusu utekelezaji kamailivyoafikiwa. Kinachofanyika ni chuki na dhuluma dhidi ya uislamu na waislamu, ndiyo sababu tunapaswa kuamka na kujitetea kadri ya nguvu na maarifa tuliyojaliwa na Mwenye ezi Mungu Subhana Wa,taala

WABILLAHIT TAWFIIQ

2 comments:

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...