18 June, 2013

BREAKING NEWS: ARUSHA HALI SI SHWARI TENA MABOMU YAFYATULIWA OVYO MUDA HUU


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEieiuq_XgWMOrJNjkM1Lp4U6deKfTSSPD6A7XAT4lld0lBYFylgcAvQhE4Bz03-3RPkwpEOhmaSAfGXIk8R17gOpyt0EMfTuiIufowYhrYn4BOPxyB_Kpogv95UkMYATLgRPp12D7tnyA/s1600/Waziri+mkuu+msitaafu+Mhe.+Edward+Lowasa+akiongoa+na+watoto+yatima+na+wale+waishio+katika+mazingira+magumu+Mikwambe+Dar+es+Salaam.+Picha+na+Ismail+Mang%27ola.+(88).jpg 
WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA.
 
HALI tete katika jijini la Arusha muda huu,Polisi wanapiga mabomu ovyo,watu waliokuwa wamekusanyika katika Uwanja wa Soweto wakisubiri kuaga miil
i ya watu waliofariki dunia katika shambulio la kigaidi wametawanywa kwa mabomu.

Mbali na watu kutawanywa kwa mabomu hayo,Waziri Mkuu aliyejiuzuru Edward Lawassa amenusurika kufa huku gari lake likiharibiwa vibaya.

Mwandishi wa Habarimpya.com akiwa eneo la tukio ameshuhudia majeruhi kibao wakikimbizwa katika Hospitali ya Maount Meru jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...