Ni muda mrefu nimekua kimya, na wasomaji wa blog yangu wame miss habari motomoto nilizokua nawahabarisha. Aidha ‘news’ ambazo mngependa kuzisoma katika blog ya jojo sikuweza kuzi post kwasababu ya maswala yaliyokua nje ya uwezo wangu.
Sababu hiyo ndio iliyofanya mfumo wangu wa maisha ubadilie
kwani kwa sasa naitwa mama! Nimesha pata mapumziko yangu ya uzazi na sasa
nimerudi kwa kasi kubwa zaidi.
No comments:
Post a Comment