20 September, 2013

FLORA LYIMO A.K.A MBUTA NANGA APIGA PICHA ZA NUSU UCHI!!!! NI YULE ALIYEDAI KUBAKWA NA MBUNGE GODBLESS LEMA




"Eeh jamani kweli UKISTAAJABU YA MUSSA UTAYAONA YA FIRAUNI, huyu ni Flora Bahati Lyimo yule mwanamama aliyedai kubakwa na muheshimiwa Godbless Lema.. kama mama zetu kama hawa wanapiga picha za hivi nakupost kwenye mitandao TENA BLOG YAKE MWENYEWE sijui wanatufundisha nini sisi watoto wao, nimesikitika sana baada yakuona picha hizi huku mwenyewe akionekana hana habari kama kavaa nguo za heshima yupo msikitini anaswali.. 
Sasa hapa akiendeleza ile stori yake ya kubakwa si watu watamuona chizi na anamsingizia Muheshimiw!!! MButa Nanga!!!! KAnisapuraizi kweli jaman,

Source za Picha ...Ingia Blog yake Hapa kuona Picha zaidi: FLORA LYIMO BLOG

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...