Mimi
ni binti mjasiliamali ambaye nimechoka kuishi peke yangu na
sasa nahitaji mwanaume wa ndoa anayejiheshimu na anayejua
kupenda.Umri wangu ni miaka 25, elimu yangu ni form six.
Asilimia
kubwa ya wanaume ni wasumbufu na wana wanawake wengi,kitu ambacho
kwa upande wangu sikitaki maana najijua nina wivu....
Kwa yeyote mwenye sifa hasa ya kuja kuwa mume
mwema ambaye atanipenda kwa dhati na hatanisaliti basi anijibu kupitia email yangu.
Kwa
upande wangu namhakikishia kuwa ntampenda kwa dhati, Sitamsaliti,
ntamheshimu na ntawapenda ndugu na jamaa zake wote kwa moyo
wangu wote.
Mawasiliano:
Email yangu ni nancybast4@yahoo.com
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba linaanza vikao vyake tena leo mjini Dodoma, huku kukiwa na jitihada kubwa za kujaribu kuweka udh...
No comments:
Post a Comment