Shoo ya ufunguzi kwa warembo 30 ilikua matata ile mbayaaaa.....
MISS Tanzania 2013, Happiness Watimanywa akipunga mkono mara baada ya kuvikwa taji la Redd’s Miss Tanzania 2013 usiku wa Septemba 21, Ndani ya Ukumbi wa Mlimani City na kuwashinda warembo wenzake 29.

top 5 mkao wa kusubiria maswali, kutoka kushoto ni Happiness Watimanywa (Miss Photogenic), Elizabeth Pretty, Clara Bayo (Miss Sports Women), Lucy Tomeka na Latifa Mohamed.
Hongera kwako Happiness Matimanywa toka Dodoma, really you deserve it. Ulijibu vizuri swali ulilo ulizwa, ulijituma hata ulipokua kambini, mbali na kutwaa taji la Redd's Miss Tanzania 2013, pia Happy anashikilia taji la Miss Photogenic.
Nafasi ya pili ilikwenda kwa mrembo Latifa Mohamed kutoka Kitongoji cha Kigamboni na Kanda ya Temeke na nafasi ya Tatu ikienda kwa Miss Tanzania Sports Woman, Clara Bayo.
Ule usemi wa Dua la kuku halimpati mwewe umedhihirika kwani tulisha zoea kila mwaka taji linabaki Dar es Salaam... Sasa hilooooo limeenda zake Dodoma togather with a beautiful red car (Toyota) na kitita cha shilingi milioni 15 za Kitanzania.





No comments:
Post a Comment