STAA kunako
tasnia ya filamu Aunt Ezekiel amepost picha za chumbani mtandaoni akiwa amelala
kitandani na mumewe Sunday Demonte huku picha moja ikiwa
imeandikwa happy birthday 2u my lvly wife,the lv ov ma life! ours is an
everlasting.
Aunt
amepost picha hizo kupitia mtandao wa instagram akiwa na mumewe huyo huku
akiandika Thanx ma lv… Ma Mume akeee.. huku watu wakitoa coment wakimsifia kwa
kumtunza mume wake hadi amenenepa tofauti na alivyokuwa mwanzo.
No comments:
Post a Comment