
Superstar asiyeisha vituko Rihanna amepiga picha kwa ajili ya jarida la GQ la nchini Uingereza akiwa nusu utupu kuanzia juu hadi chini.
Mwimbaji
huyo maarufu duniani amelipamba jalada la mbele la jarida hilo toleo la Novemba
akiwa hajavaa nguo yoyote zaidi sana kichwa chake kimezingirwa na kufunikwa na
majoka!

Picha hizo zimepigwa na Mariano
Vivanco kwa kusimamiwa na Damien Hirst, zikitoa taswira ya simulizi ya Kigiriki
kuhusu Medusa (mlinzi wa kike) ambayo imetumika katika kuadhimisha mwaka wa 25
wa jarida hilo.
Toleo hilo litakuwa mitaani tar 31 Oktoba mwaka huu.
No comments:
Post a Comment