Aidha msemaji wa familia aliyekataa kutaja jina amesema Sepetu alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari na Kiharusi.
Hadi mauti inamkuta alikua ni Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji ya Vitega uchumi Zanzibar.
JoJo The Fighter anaungana na waombolezaji wengine wote katika kipindi hiki kigumu... Bwana alitoa na Bwana ame twaa; Jina lake lihimidiwe.
No comments:
Post a Comment