27 October, 2013

WAZIRI NCHIMBI AFUNGIWA BARABARA NA WANANCHI

 Wananchi wenye hasira wakifunga njia kwa kutumia vyuma vya kingo Za daraja kuzuia msafara wa Dkt. Emmael Nchimbi kupita wakati akienda kwenye mkutano wa hadhara ambao baadae ulifanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari ya kutwa ya matarawe iliyopo katika manispaa ya Songea

Diwani wa kata ya Matarawe (CCM) Makene  aliyesimama katikati akijaribu kuwatuliza wananchi wa kata hiyo ambao walifunga barabara itokayo mjini kwenda matarawe kwa zaidi ya masaa mawili wakimshinikiza mbunge wao Dkt. Nchimbi awasaidie kulipanua daraja ambalo wamedai kuwa limekuwa likisababisa ajali nyingi pamoja na vifo aliyesimama nyuma yake ni Dkt Nchimbi 

CHANZO: LINDIYETU

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...