13 January, 2014

ANGALIZO: HALI YA USALAMA DAR SI NZURI

Kundi la watoto wa Mbwamwitu lawa tishio Ilala. 
Linafanya uporaji wa mali za  wananchi....

Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa yombo Bwana Athuman Maembe amesema kundi la kiharamia la watoto wa Mbwamwitu linaraditibiwa na Mtoto wa Mzee Lukosi.
Kundi hili linafanya uporaji wa mali za wananchi katika eneo la kiwalani.

Jana majira ya jioni kundi hilo lilivamia mitaa mbalimbali na kupora watu pesa na kuwakatakata watu kwa mapanga kulipiza kisasa cha wenzao wawili ambao waliuliwa juzi na wananchi wenye hasira kali kwa kuwachoma moto. 
Credit: JF

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...