14 January, 2014

POST YA KWANZA KUTOKA KWA MSANII JUX INAYOMHUSU JACKIE CLIFF

Ni siku kama sita zimepita toka ubalozi wa Tanzania nchini China usema hauna taarifa zozote za kukamatwa kwa Mtanzania Jackie Cliff huko China na kwamba Watanzania wa mwisho kukamatwa ilikua December 2013 na walikua Wanaume.

Saa kadhaa zilizopita msanii Jux ambae amekua akitajwa kuwa mapenzini na Jackie, amepost maelezo pamoja na picha ambayo inaonekana inaonekana ameongea na Jackie kwa kupitia mtandao wa Skype.

Msanii wa kundi la Wakacha Juma Jux kwenye account yake ya instagram amepost hiyo picha hapo juu na kuandika,”HAPPY BIRTHDAY MAMIE Was good talking to you and i am so happy kuwa sababu ya tabasamu lako words can’t explean wat u mean to me only god knows. today is your day HBD my lv”

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...