taarifa hizi mpaka sasa hazina uhakika,kuna watu wanajiuliza kama kakamatwa je karudi uraiani??na kama yuko uraiani mbona pia familia yake bado haimpati kwenye simu?
Jack Cliff ame post picha hiyo (hapo juu) leo akiwa kavaa
kofia nyeusi iliyoandikwa Kenzo ,top nyeusi na pensi aliyowahi kuonekana nayo
kwenye picha zake kadhaa na katika post hiyo chini ya picha aliandika alama ya
vidole viwili tunajiuliza kama kweli alikamatwa na je na kama hakukamatwa
mbona kawa kimya kipindi kirefu tangu taarifa hizi zianzwe kusambazwa au
kuna mtu kaingia kwenye akaunti yake ya Instagram na kupost picha hiyo, JoJo
anafatilia suala hili ili kukupa habari
kamili.
No comments:
Post a Comment