15 January, 2014

TAARIFA YA KUSIKITISHA INAYOMUHUSU RICH MAVOKO.

Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.
Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” pamoja na hii caption amepost picha ya rangi nyeusi.
Pole sana Rich Mavoko na taarifa nyingine zikitoka utazipata hapahapa kupitia JoJoTheFighter

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...