09 January, 2014

BASI LA MTEI LACHOMWA MOTO LEO ASUBUHI

Leo majira ya asubuhi basi la kampuni ya Mtei ya Arusha limechomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya basi hilo kumgonga mwendesha piki piki na kuua watu watatu hapo hapo maeneo ya Njia panda ya  mnadani Singida.
 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...