15 January, 2014

HUWEZI KUFANIKIWA KWA KUTEGEMEA MSHAHARA

Chukua hiyo kutoka kwa Mkurugenzi wa GPL
HUWEZI kufanikiwa kwa kutegemea mshahara. Lengo la wafanyakazi kupewa mshahara ni tu waweze kuwa comfortable hadi mwisho wa mwezi. Kitu pekee ambacho kinaweza kumsaidia mtu kukua na kuwa na fedha ni kuwekeza kwenye vitu vingi. Hata kama ni biashara ndogondogo lakini ukiwa nazo nyingi zinaweza kukusaidia kukutoa hapo ulipo.
Eric Shigongo
Januari 14, 2014
Global Publishers

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...