SHETANI ALIMJARIBU YESU MARA 3!
YUDA ALIMUUZA YESU KWA VIPANDE 3 VYA FEDHA!
YESU ALIANGUKA NA MSALABA MARA 3!
PETRO ALIMKANA YESU MARA 3!
JOGOO ALIWIKA MARA 3!
YESU ALIFUFUKA SIKU YA 3!
WANAWAKE WALIENDA KABURINI SIKU YA 3!... NAO WALIKUWA 3!
YONA ALIKAA KATIKA TUMBO LA SAMAKI KWA SIKU 3!
MUNGU YUPO KATIKA NAFSI 3!
YONA ALIKAA KATIKA TUMBO LA SAMAKI KWA SIKU 3!
MUNGU YUPO KATIKA NAFSI 3!
JE, UNAJUA SIRI NYINGINE ILIYOPO KWENYE NAMBA 3?... TUJUZE TAFADHALI!
40 NAYO INA SIRI YAKE!
YESU ALIFUNGA KWA SIKU 40,
MTOTO AKIZALIWA HUTOLEWA SIKU YA 40,
MTU AKIFA, MATANGA NI SIKU YA 40
WANA WA ISRAEL WALI KAA JANGWANI KWA MIAKA 40
MUSA ALIFUNGA SIKU 40
MUSA ALIFUNGA SIKU 40
No comments:
Post a Comment