14 January, 2014

MAKOSA YA MARA KWA MARA KATIKA KISWAHILI



Neno 'SHELI'. Limetapakaa Tanzania nzima na kuaminika katika vichwa vya watu kuwa maana yake ni 'Kituo cha mafuta'. Unamkuta mtu yupo kituo cha mafuta cha TOTAL ama BIG BON, anakueleza kuwa njoo hapa SHELI utanikuta.
UHALISIA. SHELL ni kampuni ya uchimbaji na usambazaji mafuta, kampuni ya kwanza kabisa kuuza mafuta Tanzania.... Na ilikuwa kampuni pekee bila mpinzani..... Hivyo kutokana na hali hiyo ikazoeleka kuwa kila kituo cha mafuta ni SHELI.... Hata ilipofifia na kuibuka vituo kama GAPCO, BIG BONY, TOTAL na vingine vingi bado SHELI imebaki katika vichwa na pia utamaduni wetu.... Kama ulikuwa hulijui hili basi anza kubadilika leo....

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...