Mimi Ninaitwa Athumani.
*Ninaitwa...'NINA'... Inachukua nafasi ya kiwakilishi 'mimi' ambacho husimamia nafsi ya kwanza umoja... Hivyo kusema 'MIMI na NINA' Unarudia kitu kilekile.
USAHIHI. *Ninaitwa Athumani AU Mimi ni Athumani.

No comments:
Post a Comment