11 January, 2014

NATAKA ULIMWENGU MZIMA UJUE LEO NIMETOLEWA MAHARI

Mrembo Jessica Mawala, leo ameianza hatua nyingine ya maisha baada ya kufanyika hafla ya kukata na shoka iliyofanyika nyumbani kwao Chang’ombe ambapo alivishwa pete ya uchumba pamoja na kulipiwa mahari kulingana na mila na desturi za wachaga;
Harusi inatarajiwa kufanyika mnamo mwezi wa saba mwaka huu. MUNGU WAONGOZE KATIKA SAFARI YAO YA MAISHA

"Sisi ndio wenyewe kwani hamtuoni?"Jessica (wa nne kutoka kushoto) akiwa na mume wake mtarajiwa pamoja na ndugu wa karibu
JoJo also was there to show love
Jessica na JoJo
Jessica (wa kwanza kutoka kushoto)
 akiwa na mama mkwe wake, akifuatiwa na mama mzazi pamoja na baba
Jessica na kaka zake
Na hapa akiwa na rafiki zake

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...