11 January, 2014

JOYCE KIRIA AWATOLEA UVIVU CHADEMA

Mtangazaji wa kipindi cha wanawake Live na mama wa watoto wawili amesikitishwa na vuguvugu lilipo Chadema, na kusema wasiishie kumuadhibu Zitto tu kwani kuna viongozi kama Mh Mbowe kazaa nje, Mh Mukya kazaa na mume wa mtu haya yote si maadili kwani kiongozi bora huwa unaanzia kwako binafsi, katika familia yako ndio uweze kuongoza Nchi vizuri, sasa hawa wa kuzaa nje ya ndoa na mwingine mume wa mtu kama kweli wamefanya hivi sijui tunajifunza nini kutoka kwa viongozi hawa...

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...