WIKI tatu tangu ajifungue mtoto wa kike, staa wa filamu za Kibongo,
Rose Ndauka amesema amejifunza tendo hilo siyo la mchezo na kugundua
kuwa mama anapaswa kuheshimiwa.
“Mtu asikuambie kitu jamani, mama ni kitu kingine, nilivyozaa ndiyo nimeona mama ni kila kitu maana sasa hivi usiku silali kutokana na kumuangalia mwanangu,” alisema Rose aliyempa mwanaye jina la Naila.
No comments:
Post a Comment