12 January, 2014

SIKILIZA: SABABU NA TIBA YA TATIZO LA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE MJAMZITO

Kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake walio wajawazito, ni miongoni mwa matatizo ambayo yanaelezwa kuwa yamekuwa yakiwakumba kina mama wengi walio katika hali hiyo. Na wapo baadhi ambao sio tu kuwa hali hiyo inawatokea wakiwa bado wangali wajawazito, bali pia hali hiyo huendelea hata baada ya wao kujifungua.
Je, unajua sababu za tatizo hili ni zipi na tiba yake ni nini hasa? Sikiliza mtaalamu akifafanua juu ya sababu na tiba ya tatizo hili, kama ambavyo alikuwa akiongea kupitia kipindi cha Afya ya Uzazi cha TBC Taifa. 

http://archive.org/embed/KupotezaHamuTaTendoLaNdoa#

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...