

Baada ya Post hiyo naye wema sepetu aliweza kujibu kwa kuweka post yenye picha hii hapa na kusema hivi : “I just luv you Naseeb wangu”
hakika hawawatu wanapendana kwa kweli tungoje Ndoa tu sasa kilichobaki……
Team
wema nao hawakuwa nyuma kusindikiza furaha hiyo ya hao wawili na
waliweza kupost dongo hili likiwa na Picha hiyo hapo Juu, Daaaaahhh ni
shida kweli……
Kama hukuwahi kuziona picha za mwanzo alizopost wema sepetu akiwa katika muonekano huo mpya zicheki hapa:

No comments:
Post a Comment