06 March, 2014

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA ULINZI NCHINI DUBAI


Kampuni ya Bravo Job Centre Agency ya Jijini Dar-es Salaam, yenye makao yake Keko Bora Temeke. Inatangazo nafasi za ajira ya ulinzi(Security Guard).

SIFA ZA MUOMBAJI
1.  Awe raia wa Tanzania na mwenye akili timamu
2.  Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea
3.  Ajue kuongea  kiingereza  au kiarabu
4.  Asiwe ameshiriki kwenye makosa yeyote ya jinai siku za nyuma
5.  Awe na umri wa kuanzia miaka 22 hadi 37Awe amepitia mafunzo ya  JKT,  MGAMBO au kwenye vikosi vya ulinzi vinavyotambuliwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
6.  Awe na ezoefu wa kazi ya ulinzi kwa muda wa miaka miwili (02) na kuendelea.
7.  Awe na hati ya kusafiria (Passport)
8.  Nauli  na gharama zingine ni juu ya Mwombaji mwenyewe.

Kwa maelezo zaidi  wasiliana nasi;
Barua pepe:bravojobc@yahoo.com
Skype:         bravojobc
+255713260203
+255714318681

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...