
Mwenyekiti wa Bravo Job Center Mhe Abas Z Mtemvu (MB) akikabidhi visa na tiketi kwa ajili ya kwenda Dubai
Kampuni
ya Bravo Job Centre Agency ya Jijini Dar-es Salaam, yenye makao yake Keko Bora
Temeke. Inatangazo nafasi za ajira ya wapishi wa kike
1. Awe raia
wa Tanzania na mwenye akili timamu
2. Awe na
elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea
3. Ajue
kuongea kiingereza au kiarabu
4. Asiwe
ameshiriki kwenye makosa yeyote ya jinai siku za nyuma
5. Awe amepitia mafunzo ya upishi katika chuo kinachotambuliwa
na Jamhuri ya muungano wa Tanzania
6. Awe na uzoefu wa kazi ya upishi usiopungua miaka mitatu (3)
7. Awe na
hati ya kusafiria (Passport)
8. Awe na afya nzuri
(Asiwe na magonjwa ambukizi)
9. Awe na umri wa kuanzia miaka 22 mpaka 35
NB: Mapishi ya kiarabu ni sifa
ya ziadaKwa maelezo zaidi wasiliana nasi;
Barua pepe:bravojobc@yahoo.com
Skype: bravojobc
+255713260203
+255714318681
No comments:
Post a Comment