30 April, 2014

ACHEZEA KICHAPO KWA WIZI WA SIMU

 

 

 

Ni tukio lililotokea usiku wa juzi (jumaapili) huko Nyumbani Park mkoani Morogoro, maarufu kama Samaki Samaki... mwanadada aliyedaiwa kuwa ni miongoni mwa wale wadada wanaofanya biashara ya kuuza mwili, ambapo hakuweza kutambulika jina lake mara moja...alijikuta akidhalilishwa na njemba baada ya kukwapua simu ya njemba huyo na kuificha kwa nia ya kuiiba.

Dada huyo aliye na sifa zote za mwanamke mwenye heshima zake...lakini huwezi kuamini kama ana tabia za ajabu...kitendo hicho kimewafurahisha watu wengi sana waliokuwepo eneo la tukio kwa kuwa ni fundisho kwa warembo wengine wenye tabia kama za shosti huyo.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...