25 April, 2014

ANGALIA VITUKO VYA WALIMWENGU MARA BAADA YA MOYES KUFUKUZWA



Mwezi February kuna picha ya shabiki mmoja wa soka anayeishabikia Manchester United ilisambaa sana ikimuonyesha kajichora tatoo ya “Moyes Out” kwamba hataki kabisa David Moyes aendelee kuwa meneja wa timu anayoishabikia.
Sasa baada ya David Moyes kufukuzwa shabiki huyu ameamua kuiongezea maandishi tatoo hiyo kuonyesha alivyofurahishwa na kufukuzwa kwake ambapo maneno hayo yanamaanisha ‘kazi imekamilika’
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

0 comments:

Post a Comment

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.
 
Top

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...