29 April, 2014

CHEKI VIDEO JINSI MAMA ALIVYOMPA KICHAPO MWANAE BAADA YA KU-POST PICHA CHAFU FACEBOOK



Binti alipost picha yake ambayo imeelezwa kuwa ni ya nusu uchi kwenye page yake ya facebook na kama kawaida ya internet ikasambaa ghafla.
Mama wa binti huyo baada ya kusikia hizo habari hakuweza kujizuia na kumpa kichapo kikali kwa kuchapa na mkanda binti yake huyo mwenye umri wa miaka 12!

Baada ya video hii kusambaa mama huyo raia wa Trinidad and Tobago amesema hajilaumu kumchapa mwanae na wala haogopi kwenda jela kwasababu alikuwa anamuonyesha mwanae njia nzuri ya kuishi.

Angalia video hapo juu!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...