23 April, 2014

CHIDDI BENZ ATUPWA POLISI BAADA YA KUTEMBEZA KIPIGO KWA MREMBO HUYU. SOMA CHANZO CHA UGOMVI HUO HAPA

Aisha Sued anayedai kupigwa na Chidi Benz 

Mwanadada Aisha Sued anayeishi Ilala karibu na Kituo cha basi Msaada Garage amedai kuwa siku ya Pasaka ameshambuliwa na Msanii wa Bongo flava Rapper Chidi Benz na kuumizwa vibaya mdomoni hadi kushonwa nyuzi 18, Tukio hilo inasemekana lilitokea katika Bar moja iliyoko maeneo ya Ilala usiku wa sikukuu ya Pasaka, kwa wakati huu Chidi Benz Tangu usiku wa siku ya Pasaka tarehe 20 April 2014 ametiwa nguvuni na jeshi la polisi na yupo kituo cha polisi Pangani Ilala kwa madai ya Shambulio na kumuumiza vibaya Aisha Sued 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...