23 April, 2014

MAASKOFU WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU KATIBA! FUATILIA HAPA


Katika salama za pasaka viongozi wa dini wa katoliki 32 wamesema maoni ya wananchi katika rasimu ndio msingi wa katiba hivyo wamewataka wajumbe wa bunge la katiba wa yaheshimu kama yalivyo wasilishwa na jaji Warioba bungeni,wamesema wajumbe wa tume waheshimiwe kwakua taasisi zote,mtu mmoja mmoja na makundi mbali mbali ya kijamii yalipata nafasi kupeleka maoni yao mbele ya tume ya Warioba, hivyo wanapashwa kuheshimu rasimu hiyo iliyo beba maoni ya wananchi hakuna haja ya wakuidharau tume iliyo undwa na watu makini na wanao heshimika katika taifa letu

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...