23 April, 2014

WAJASIRIAMALI WA KWELI TANZANIA

TV Azam,
Maji Azam,
Juice Azam,
Unga Azam,
Malta Azam,
Soda Azam,
Uwanja wa mpira Azam,
King'amuzi Azam,
Nazi Azam,
Tomato paste Azam,
Keki Azam,
Biskuti Azam,
Ice cream Azam,
Mandazi Azam,
Chapati Azam,
Timu ya mpira ya Azam...


*************************
Kuna mwingine naye...
Sabuni, IPP
Vipodozi, IPP
Radio One, IPP
Capital Radio, IPP
EA Radio, IPP
Nipashe, IPP
The Guardian, IPP
Coca Cola, IPP
Fanta, IPP
Stoney Tangawizi, IPP
Sprite, IPP
Juice, IPP
EATV, IPP
ITV, IPP
Alasiri, IPP
....
Wawekezaji kama hawa wa ndani ndio wangepaswa wapewe kipaumbele badala ya wageni..Badala yake Serikali ya 10% inathamini wageni zaidi. Mengi angeruhusiwa kununua Kilimajaro Hotel badala ya kumdhihaki ingekuwa na tija zaidi ya ilivyo sasa mwarabu anafanya atakavyo akihonga suti tu kwa nanihii!!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...