Forbes ni jarida maarufu sana duniani ambalo limekuwa lifanya na kutoa tafiti mabimbali. Exclusively sasa wametoa orodha ya wanawake wenge nguvu zaidi duniani yaani The World's 100 Most Powerful Women 2014..Hii
ni orodha ya wanawake kutika kada/tasnia mbalimbali kuanzia siasa,
michezo, burudani, biashara, teknologia NK wenye ushawishi mkubwa kwenye
jamii.
Alieshika namba moja ni Angela Merkel (Chancellor wa Ujerumani) kwa mara ya Tisa sasa anakuwa namba moja... na Mke wa Obama, Michelle Obama hayupo mbali sana ameshika namba (8) Hiary Clinton (No 6) Melinda Gates (No. 3) yeah huyu ndio mke wa mkuu mwenyewe......baba wa WINDOWS.
Kwa Afrika wapo Joyce Banda (No.40) Rais wa Malawi, Ngozi Okonjo-Iweala (No 44) Waziri wa Fedha Nigeria na Folorunsho Alakija (No 96) mfanya biashara ya mafuka kutoka Nigeria.
Tuachane na hao tuje kwenye watu katika nyanja yetu (DOMOZEGE) ya burudani na warembo zaidi....Kama kawa Oprah Winfrey (No 14) Beyonce Knowles (No 17) Ellen DeGeneres (No. 46) huyu ni kama Salama J wa hapa TZ, Angelina Jolie (50), Shakira (No. 58) Lady Gaga (No. 67)

No comments:
Post a Comment