29 May, 2014

WEMA SEPETU UTAMWONA NA MASTAR WOOOOTE LAKINI KAMWE HUWEZI KUMWONA MEZA MOJA NA HUYU STAR

Wanasema kua kikulacho ki nguoni mwako, msemo huo kwa Wema utakua unamgusa sana. Kitambo hicho Wema na Penny ( X wa Diamond ) walikua mashosti ile mbaya lakini ushosti huo uliishia pabaya pale Wema alipogundua kua Penny anakula kijanja muhogo wake ( Diamond Platnumz )

Japo kua hii si ishu mpya sana but nmeona leo nwaletee picha za wawili hawa Wema na Penny walipokua mashost kabla. Kwa sasa Wema kashikilia usukani wa Moyo wa Diamond na inasemekana mwakani huenda tukawalia wali ( Ndoa ) Tazama picha hizo hapo chini




No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...