08 May, 2014

TUZO ZA DIAMOND ZAZUA BALAA..ZAPELEKWA KWA WEMA, FAMILIA YACHARUKA

Habari zilizosambaa  kutoka Kwenye Gazeti Moja zinasema Familia ya Diamond Pamoja Na marafiki walishangazwa na Kitendo cha Diamond Kuzipeleka Tuzo Saba Alizoshinda kwa Wema Sepetu Badala ya Kuzipeleka Nyumbani Kwake...Pia inasemekana Ule Ukaribu wa Diamond na Mama Yake Siku hizi Umepungua Hata Kwenye Tuzo za Kill Mama yake Hakuudhuria Kama Kawaida yake na Tulivyomzoea....Wengine Wameanza Kusema kuwa ni Kwasababu Mama yake Hamkubali Wema Sana So siku hizi Anajitenga...Pia Dada Yake wa Hiari Halima Kimwana Hakuonekana Ukumbini kwa Kile kinachosemekana aliogopa Team Wema Kumzodoa....

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...