19 May, 2014

WATU 10 WAPOTEZA MAISHA KWENYE MLIPUKO NAIROBI

Soko la Gikomba ni maarufu kwa nguo za mitumba
  ni kwamba milipuko ilitokea  miwili imetokea Ijumaa (juzi) karibu na Soko kubwa la nguo la Gikomba mjini Nairobi.
Soko hilo linapakana na mtaa wa Easleigh ambako wasomali wengi wanaishi na kufanya kazi.
Shirika la serikali la kushughulikia majanga linasema kuwa angalau watu 10 wamefariki na wengione zaidi ya hamsini kujeruhiwa.
Mlipuko wa kwanza ulitokeakatika gari la abiria wakati la pili likitokea upande wa pili wa soko.
Milipuko ya leo imetokea siku moja baada ya Uingereza kutoa onyo kwa raia wake wanaoishi nchini humo kurejea makwao kwa hofu ya usalama na pia baada ya tahadhari kutolewa ya kutokea kwa mashambulizi ya kigaidi nchini humo.

Gikombaa ni soko kubwa la kuuza nguo ambalo linapakana na mtaa wa Eastleigh ambako wasomali wengi wanaishi na kufanya kazi.
Kenya imekuwa ikikumwba na mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa wawatu wenye uhusiano na kundi la wanamgambo la kiisilamu nchini Somalia la Al Shabaab.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...