18 June, 2014

AFARIKI DUNIA PAPO HAPO KWA KUANGUKIWA NA KICHUGUU


Mwili wa Mkazi wa kijiji cha Ruganzo wilayani Ngara mkoani Kagera Raulian Ladislaus mwenye umri wa Miaka 40, ukiwa umeangukiwa na Kichuguu na kufariki papo hapo June 12,2014,mchana wakati akichimba kichuguu hicho kwa lengo la kuangamiza mchwa waliokuwa wakiharibu miwa yake aliyoilima  karibu kichuguu hicho.

Tukio hilo limetokea  majira ya saa 4 asubuhi wakati Marehemu akichimba kichuguu hicho ili kukihamisha kwa lengo la kusalimisha ekari moja ya Miwa iliyokuwa karibu na kichuguu hicho kabla ya kuangukiwa na kukandamizwa na Kichuguu hicho kifuani.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...