08 June, 2014

PICHA ZA CAPT. KOMBA ZENYE UTATA ZASAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII


Picha zinazomwonyesha mh. Captain John Komba zenye mapozi tofauti na mabinti tofauti zimeanza kusambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hapa Tanzania. 
Kuna picha nyingine nyingi lakini kutokana na maadili hatuwezi kuziweka hadharani; hizi ni baadhi tu
UTETEZI WA KOMBA:
Kuhusiana na hizi picha 2 zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuznia asubuhi ya leo, zikimuonyesha Mheshimiwa Mbunge huyo wa CCM Kapteni John Komba akiwa kwenye mahaba na Mwanadada mmoja anayeishi Kinondoni. 
Mbunge huyo amesema kwamba picha hizi zimetengenezwa na maadui wake wa kisiasa na kwamba yeye sio Kiongozi wa hovyo hovyo namna hiyo. 
Kapteni Komba amesema kwamba anawakaribisha wataalamu wa Picha na Mitandao kutihibitisha ukweli wa picha hizo zinazoonyesha Mwana-Dada akiwa na kipande cha khanga tu huku Mbunge huyo akiwa pembeni yake akionyesha kutokuwepo kabisa kwenye Mahaba yanayotakiwa kuwa yanaendelea baina yao. 
Mbunge huyo ameuliza zaidi iweje awe kwenye mapenzi kama picha zinavyo onyesha halafu awe na nguo zake zote huku msichana akiwa na khanga tu? 
Kapteni Komba amesema kwamba kama kweli Taifa hili limefikia hapa pa kuchafuana namna hii kisa mitizamo tofauti ya kisiasa ya namna ya kuongoza Taifa letu basi kama Taifa tumefikia pabaya sana. 
Mbunge huyo amemalizia kwa kusema kwamba wale wote wanaomuamini kama Kiongozi shupavu wa Taifa, wasikatishwe tamaa na wajinga wachache wenye mawazo ya kitumwa ambao wanadhani wanaweza kummaliza kisiasa kwa kumtengenezea picha chafu kama hizi picha 2 za leo!
Source:JF

43 comments for PICHA za Capt. Komba zenye Utata Zasambazwa Kwenye Mitandao ya Kijamii!

  1. mmh.. utalia kingoni komba.. ha ha
  2. Yakutengeneza hiyo
  3. duuuu! hatuwez jua labda tusubiri wanaozijua nyendo za vigogo wetu!!!
  4. kula bata mzee mzma acha kucngzia utengenezwaj wa pcha
  5. Mmmmmmmmmh wa jameni kz kwelkwl
  6. Mgeni mgenii mgeniii mgeni huyooo ukimwii anausambaza jamani anausambazaaaa kombaa....hahahaha
  7. Ndio zake huyo mh. Kwa nn yeye tu wakat wanasiasa wapo kibao. Nenda mstuni!
  8. huna lolote ndio wewe hasa wala sio photoshop hiyo utakoma kuambiwa tupige picha mpenzi hiyo ndio pay yake utakoma kulala na makahaba waso malezi

  9. Wazee wa kibongo wanapenda maku balaa ngoja nikae na popcorn zangu nashushia na togwaa wacha movie iendelee penny kalazwa icu kisa domo
  10. Mzinzi mkubwa!!
  11. wapi lulu michael si ndo alikua demu wake toka enzi hizo
  12. Photoshop kabisa
  13. Watu wabishi iyo Ni photoshot
  14. atakoma kazidi kupenda ndogo ndogo
  15. heeeeeee!!!yani hivo alivyo ndo alikuwa anamchukua lulu miichael mweeee!! heee
  16. Hahahaha izo zimetengenezwa
  17. hahahahahahahaha mgeni huyo balaa amekuja kuwatoa wazee mgeni huyoo ni nani
  18. picha ni kweli ila komba anajitetea tu coz zipo nyingi zaidi mtaani akiwa na uyo binti .....ni live bila chenga...anazuga tu

  19. lulu malaya haangalii cha sura wala uzee anaangalia pesa mtoto laana huyo lulu kafilwa sana na komba kamfumua marinda sana
  20. anasambaza ukimwi huyo komba nina wasiwasi na lulu km hakumwachia ukimwi kufilana mchezooooo
  21. nyie mnaosema komba anafila mmejuaje,mmefilwa na nyie kama ni ukimwi hata nyie mnao
  22. Kila mwanasiasa akifanya uchafu akibanwa husingizia siasa.ona alivyo fanya ushenzi,Mh.Juma Kapuya na vicky Kamata,
  23. Za kutengeneza hakuna kitu
  24. aibu yako mzee hazijatengenezwa wala nini ni kweli na ndo uhalisia wa komba alivyo, ni malaya mbwa
  25. Mnaosema k ni Maraya njie je????? Kwani akizuni mtachomwa Moto wote? Mwachen afanye yake wengin hapo mntaman muwe nyie haoooooo
  26. Unamtetea eeeh basi ndio unaambiwa hatakagi mbele kabisaaa ye ni nyuma tu.mgeni kwetu ameingiaaaaaa mgeni mgeniiii mgeni huyo mgeniiii naimba tu
  27. Mgeni mgeniii *2 , mgeni huyuu balaaaa! Mwacheni ale uzeee
  28. Huyu mzee ana nyege mshindo....kuma la mama yake.
  29. komba izo pic ni zake hazijatengenezwa, nipo udom hawa wabunge malaya mbwa hasa juma nkamia naye ndo tuna picha zake za kumwaga
  30. ukweli anao yeye ila km kweli aache maana awa wadada watamuaibisha mtu mzima na ni kiongozi so aache sipati pic kwa familia yake hasa wajukuu zake yan nu aibu sana uyu fataki kabisa shame of yeye
  31. Anaesema wametengeneza atupe reason such as " kichwa kinaonekana kimepachikwa so mwili ni wamtu mwingine ...nakadhalika........ mkuu mwenyewe amekubali kuwa alipeleka juisi matunda na hela kwa mpiga kura wake mgonjwa
  32. Aina hii ya watu ni balaa wakiwa ni tegemeo la Taifa.

  33. kuna picha amepiga na vicky wakiwa kwenye vikao vyao mzee mkono wake kaweka kwenye mapaja ya vicky,sikupenda ile picha,jamani viongozi wetu kuweni na hofu ya mungu lol!!
  34. Komba a.k.a fataki mwaka huu umepatikana huna ham hahahaaaaa. Unalo!? Kijasho kitakutoka. Na bado tunazo na zingine zitatoka very soon!
  35. Haya viongozi wengi wa wabongo ngono nje nje, wanapenda kutombana tena na vitoto vidogo. S ajabu ndio maana hata maendeleo hatuna, wananchi tulio wengi masikini wa kutupwa, na huma za jamii, kam madawa, mahospital mashule vyote ziiiiii, ikiwa viongozi wenywe ndio kama hawa mapumbu nje nje
  36. Ndio Viongozi wa Serikali Sekivu.Inafanya Mambo Sikivu.Wananchi muwe wasikivu
  37. presha imepanda presha imeshuka
  38. hawa wanaijita viongozi ndio wapotoshaji maadili sana katika jamii hiii , sasa kama kiongozi haya maadili gani? jamani, na serikari sikivu,
  39. Zeeee kitombi sana tu hili sasa limekamatika, weee wache waendelee sio huyu pekee yake wapo wengi tu hii mifataki, tena yote inatokea huko mjengoni, Mizee baada ya kufanya kazi bali wamekaa kimasrahi zaidi. Na kuharibu jamii,
  40. Mmh Mungu weeee wachape viboko watu hawa wanao rubuni watoto wa watu na kutembea nao loh
  41. Huyu baba Mungu amwazibu
  42. Mimi napita tu maana hz comment nimecheka sana haswa kibwagizo cha mgeni

Popular Posts This Week

Total Pageviews

33,849,345

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...