08 June, 2014

TAHADHARI HII NDIYO "PAFYUM" YENYE SUMU INAYOWEZA KUTOA UHAI WAKO WAKATI WOWOTE UTAPOITUMIA PINDI UONAPO UJUMBE HUU MJULISHE NA MWENZIO

fggg

Chanel ya Tbc1 ilitangaza kua imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :-
Iraq, Bahrein na Suudia, vilevile ktika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi nchini Oman.
Watu 8 nchini Iraq wameshafariki dunia na wapatao 35 wapo hali mbaya.
Tayari wameshagundua jina na muundo wa perfume hii yenye sumu na kuua, nayo inaitwa (LOVELY ) na baada ya uchunguzi imeonyesha kua athari yake haitokei mara baada ya kutumia (inapogusa sehemu ya mwili), bali inachukua siku 3-4 na inaweza kua ni kifo cha ghafla.
Kwa usalama wako na uwapendao ieneze habari hii haraka sana

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...