18 June, 2014

VIDEO YA WIMBO MPYA WA DIAMOND NA IYANYA ILIYOFANYIKA UK

Baada ya Diamond Platnumz  kuachia rasmi single mpya June 12 ‘Mdogomdogo’ ambayo ni kwaajili ya soko la nyumbani Tanzania, ametangaza ujio wa video ya wimbo wake mpya wa kimataifa aliomshirikisha staa wa Nigeria, Iyanya. Ingawa kuna baadhi ya watu wamebahatika kuiona video hiyo kupitia Channel O, lakini Platnumz amesema alikipatia kituo hicho video mapema.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...