Watu
wasiojulikana wanasadikika kuiba begi kubwa maeneo ya Sinza, Dar es
Salaam wakidhani begi hilo lina pesa na badala yake wakakutana na chatu
mkubwa walipolifungua.
Wakazi wa Sinza walimkuta chatu huyo katika daraja akiwa karibu na sanduku hilo linaloaminika kuwa lilimbeba chatu huyo.
Inaelezwa kuwa wezi hao walilitupa begi hilo na kutokomea pasipojulikana baada ya kuona mambo yamekuwa ndivyo sivyo.
No comments:
Post a Comment