Hii
ni post ya Quick Rocka wiki nne zilizopita ambapo aliandika
>>> #LatePost…Paula’s graduation. @new_kajala @lamataleah
Kama zitakua ni stori za kweli inaweza ikawa ni uhusiano mwingine
unaowahusu Bongo Movie na Bongo Fleva na kujiunga kwenye list ya
uhusiano wa kimapenzi kutoka kwenye viwanda hivyo viwili iliyo na watu
kama Wema Sepetu na Diamond, Nuh Mziwanda na Shilole na wengine
waliowahi kuingia kwenye headlines Msami wa THT na Irene Uwoya.
Hii ni post aliyoiweka Quick aliyoiweka kwenye instagram yake na kuandika >>> Ma gal kay kay….#Beautiful
Gossip Cop Soudy Brown kapiga stori na meneja wa Kajala ambae alikua
na wawili hawa hata wiki iliyopita Tanga ambapo kazungumzia
kinachoendelea kuhusu kazi mpya ya filamu ambayo inategemewa kutoka siku
si nyingi ikimuhusisha Kajala na Quick Rocker, inaitwa Mbwa Mwitu.
Meneja amekanusha stori za uhusiano huo kuwepo na kusema wawili hawa
wanafanya kazi tu, kwani haiwezekani watu kufanya kazi bila kuwa
wapenzi?
Soudy alimuuliza uchumba wa Quick na Kajala ukojeukoje? akajibu >>>
‘nani alikwambia wana uhusiano? hamna hicho kitu… Quick tumefanya nae movie tu, hakuna biashara nyingine yoyote zaidi ya movie
No comments:
Post a Comment