14 August, 2014

INASEMAKANA KUWA NDOA YA MSANII LADY JAY DEE IMEVUNJIKA TAARIFA IKO HAPA.

Ndoa ya lady jay dee
Mwanamziki nguli wa kike kutoka hapa Tanzania mwenye jina kubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania msanii Jay dee ambaye alikuwa mume hali wa mtangzaji maarufu hapa bongo kupitia kituo cha rerio cha Times Fm anayejulikana kama Gardner G. Habash ama Captain inasemekana ndoa yao imevunjika,Taarifa zaidi zinasema mumewe Gardner ameihama nyumba walikuwa wanaishi pamoja na mkewe ambaye ni Lady Jay dee iliyoko maeneo ya  Kimara  na kuhamia kwa moja wa ndugu zake.Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.Chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana kutona na hakuna kati yao aliezungumza kuhusu kuvunjika kwao ila baadhi ya watu wanasema kuwa Gardner amekuwa akiendekeza michepuko na kumfanya hadi mkewe ajue na katika moja ya mitandao ya kijamii msanii Jide aliandika hivi 
 

 
 "Walking Away From Troubles" 
 


No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...