14 August, 2014

MKE NA MAMA WATOTO WA AFANDE SELE AFARIKI DUNIA

sele 2
Msanii wa Hiphop Tanzania Afande Sele Amefiwa na mama mtoto wake, Asubuhi ya kuamkia August 14 2014, Afande Sele aliweka ujumbe kuhusu taarifa hizi 
sele
Ujumbe huu uliambatana na Hii picha ya familia yake.
Kabla ya kifo chake Afande alifarakana na mke wake na walikuwa wakiishi sehemu tofauti, wana watoto wawili  Tunda ambaye yuko kidato cha pili na Sana mwenye miaka 2.
Msiba upo Morogoro Mtaa wa Amani kwa Wazazi Wa Asha mohamed Shengo. Asha amezaliwa May 21 1981, Aliishi na Afande kwa miaka 16,Afande Sele ameniambia Asha aliugua malaria siku moja kabla ya kifo chake.
  Blog ya JoJoTheFighter Inatoa pole kwa Afande Sele na familia yake, Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Mahala Pema Peponi, Amen

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...