TUJIKUMBUSHE KUHUSU ASHLEY NA BOB JUNIOR
Kama haitoshi kitendo kilichowashtua mashabiki wengi wa Muigizaji huyo kutupia picha hiyo ilhali ikiwa inautata juu ya nini kinaendelea kati ya watu hao wawili ukizingatia kuwa siku za Nyuma muigizaji huyo Ashley Toto alipelekea ugomvi mkubwa na kusababisha kuvunja ndoa ya Mwanamziki Bob junior na mkewe.
baada ya mke wa Bob Junior kudai kuwa licha ya kuwaona beneti kwenye picha mbalimbali Ashley na mmewe, pia alikuta Nguo ya ndani ya msichana huyo baada ya mumewe kurudi Tanzania kutoka kwenye show ambaye alipromotiwa na Ashley Toto, hali hiyo ilipelekea kuvunjika kwa ndoa na mmewe .
Mashabiki walipoona Ashley Toto ametupia picha hiyo tena ikionyesha utata mkubwa ndipo walikuja juu na kutaka kujua nini kiliendelea kati ya Diamond na Ashley, na je Diamond anampango gani na Ashley maana kwa sasa haeleweki kwani Diamond anasemekana kwasasa amembwaga MADAM WEMA SEPETU na kuamisha penzi lake kwa mrembo MENINA na hata vikao vya harusi vimeanza kati ya mama yake Daimond na Menina huku Wema akiwa ametengwa
HUU NDIO MKANDA MZIMA WA ILIVYOKUWA
Katika kitendo cha kumshangaa muigizaji huyo Mashabiki wamemshangaa nae kwa kitendo cha kuliingilia penzi la Diamond kwani Diamond kwa sasa haeleweki licha ya kujulikana amekuwa nauhusiano na wasanii wengi wa kike.
“Tunamshangaa pia huyu Ashley TOTO nae kuamua kuwa na mtu kama wa hivi hali ya kuwa anajua kitendo alichofanyiwa WEMA SEPETU, na hata kidonda chake hakijaisha nae anaingia na kukipigilia msumali kwa kutupia facebook picha kama ile, kwa kweli si kitendo kizuri hata kidogo ,
hata kama wana mambo yao basi asingeyaweka wazi vile wakati anajua President wa wasafi kwa sasa haeleweki alimalizia shabiki ambaye alitupa mkanda mzima kilichotokea ujerumani na kushuudia wawili hao wakifatana kuanzia ESSEN hadi STUTTGART inasemekana Muigizaji huyo licha ya kuwa alishaudhuria kwenye show ya Diamond lakini alikwenda tena kwenye show ya pili ya President huyo wa wasafi.
Ashley kila alipotafutwa kuelezea maoni ya washabiki ili ikiwezekana aondoe picha hiyo hakuweza kujibu chochote, licha ya kuwa pichahiyo ina utata.
No comments:
Post a Comment