17 September, 2014

DAWA ZA KUKUZA MAKALIO ZIMENITOKEA PUANI.... NAJUUUUUUTA!!

Oneni Nilivyoharibika...


Naitwa Naomi, kweli niliposikia kuhusu dawa za kukuza makalio nilienda kuzinunua haraka na kupaka na Kuchoma Sindano Pia ili Kukuza Makalio yawe kama ya Nick Minaj, Mwanzoni nilifurahi kwa kuwa niliona kama vile yanakuwa kweli lakini sasa hivi nimeanza kupata mashimo mashimo pia yanauma sana mpaka yanakuwa mekundu, ukweli yamekuwa mzigo kwangu  Hata sijui Nifanyaje Jamani ...? Naombeni Ushauri jamani!!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...