1. Kuendelea kutunza "status" isemayo kwamba hauna mpenzi yaani "single" au " it's complicated" wakati tayari upo kwenye mahusiano.
2. Kuendelea kuwa na picha za mpenzi wako ulieachana nae facebook.
3. Kuwaomba urafiki marafiki wa mpenzi wako kabla hujaonana nao.
4. Kuwa na marafiki wengi wa jinsia tofauti na kutumia muda mwingi ku chat nao.
5. Kum "Tag" mtu wa jinsia tofauti picha uliyo piga peke yako kuashiria kwamba unataka akuone. "Tagging" humaanisha kwamba unamtambulisha mtu uliyepiga nae picha.
6. Usipende kuandika ujumbe wowote kwenye ukurasa wa mwenza wako wazamani.
7. Kuingia kwenye profile ya mtu wa jinsia tofauti na kuanza ku "like" na ku "comment" picha. Kumbuka facebook hutoa taarifa ya kila unachokifanya kwa rafiki zako.
8. Kutojibu "msg" wala ku "comment status" ya mpenzi wako wakati anakuona upo "online"
9. Kutomtakia "happy birthday" siku yake ya kuzaliwa kwenye ukurasa wake. Anaweza asikwambie lakini atajisikia vibaya sana kupewa heri ya kuzaliwa na kila mtu isipokuwa wewe mpenzi wake
10. Kumnyima mpenzi wako password ya akaunti yako ya facebook ili kusoma msg unazotumiwa
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Josephine is passionate, dedicated, reliable, responsible, and hardworking. Team worker and able to face all challenging situations. Can ...
No comments:
Post a Comment